Rais Dk. Mwinyi akutana na Kaimu Balozi wa Marekani, azungumzia ushirikiano na fursa za uwekezaji Zanzibar
bongo5.com

Rais Dk. Mwinyi akutana na Kaimu Balozi wa Marekani, azungumzia ushirikiano na fursa za uwekezaji Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Balozi Andrew Lentz, kwa mazungumzo yaliyojikita katika kuimarisha maeneo mbalimbali ya ushirikiano kati ya Zanzibar na Marekani. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, tarehe 23 Machi 2026, Ikulu, Zanzibar. Katika mazungumzo hayo, Dkt. Mwinyi amesema ujenzi …

Go to News Site