Kida: Tafiti zisaidie kuimarisha uchumi
HabariLeo

Kida: Tafiti zisaidie kuimarisha uchumi

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji anayeshughulikia Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk. Tausi Kida amewataka watafiti nchini kuelekeza tafiti zao katika kutatua changamoto halisi za kiuchumi na kijamii ili kuchochea maendeleo jumuishi na endelevu. The post Kida: Tafiti zisaidie kuimarisha uchumi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site