HabariLeo
DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Austria anayeshughulikia masuala ya siasa, Balozi Dk Hannah Liko, ambapo wamekubaliana kuimarisha ushirikiano katika masuala ya uhamiaji, fursa za ajira, usalama pamoja na masuala ya wakimbizi. Akizungumza baada ya … The post Tanzania, Austria kuimarisha usalama, uhamiaji first appeared on HabariLeo .
Go to News Site