Jambo TV
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amesema Jeshi la Polisi halitavumilia Askari wanaojihusisha na majukumu yasiyo yao, ikiwemo kujivisha Vyeo vya Taasisi nyingine kwa lengo la kujipatia rushwa. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo katika eneo la Kariakoo, Muliro amesema tayari ametoa maelekezo ya kiutendaji kwa Kamanda wa Polisi […] The post MWISHO WA USUMBUFU KARIAKOO? KAMANDA MULIRO APIGA STOP POLISI KUINGILIA MAJUKUMU YA MKEMIA MKUU NA TRA. appeared first on Jambo TV Online .
Go to News Site