NETANYAHU ASEMA AMEONGEA NA TRUMP, ATAISHAMBULIA ZAIDI IRAN
Jambo TV

NETANYAHU ASEMA AMEONGEA NA TRUMP, ATAISHAMBULIA ZAIDI IRAN

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amefichua siri ya mazungumzo yake na Rais wa Marekani, Donald Trump, akibainisha kuwa mashambulizi makali dhidi ya miundombinu ya Iran na Lebanon sasa yanatumiwa kama nguvu ya kulazimisha makubaliano yatakayomaliza vita kwa faida ya Israel. Licha ya Trump kutangaza kusitisha mashambulizi ya Marekani kwa siku tano, Netanyahu amesisitiza kuwa […] The post NETANYAHU ASEMA AMEONGEA NA TRUMP, ATAISHAMBULIA ZAIDI IRAN appeared first on Jambo TV Online .

Go to News Site