Hukumu kesi ya wizi mafuta TPA kutolewa Jumatano
Mwananchi

Hukumu kesi ya wizi mafuta TPA kutolewa Jumatano

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 26, 2026 kutoa hukumu katika kesi ya wizi wa mafuta na kuharibu bomba la mafuta inayomkabili aliyekuwa dereva wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Tino Ndeketa (45) na wenzake saba.

Go to News Site