Kamati ya PAC wakutana na kilio cha bando, wananchi walalama
Mwananchi

Kamati ya PAC wakutana na kilio cha bando, wananchi walalama

Kilio cha gharama na ufanisi wa mabando ya intaneti kimeibuka tena baada ya wananchi wa Kata ya Qash, Wilaya ya Babati mkoani Manyara kulalamika kuwa mabando yao huisha haraka bila kuelewa sababu.

Go to News Site