Tanzania, A. Kusini zaweka mkazo ufundishaji Kiswahili
HabariLeo

Tanzania, A. Kusini zaweka mkazo ufundishaji Kiswahili

CAPE TOWN, AFRIKA KUSINI: Tanzania na Afrika Kusini zimeongeza juhudi za kutekeleza Hati ya Makubaliano (MoU) ya mwaka 2022 kuhusu ushirikiano katika elimu ya msingi, kwa lengo la kukuza ufundishwaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za Afrika Kusini. Mnamo Agosti 2022, nchi hizo mbili wanachama wa SADC zilitia saini makubaliano hayo kama sehemu ya … The post Tanzania, A. Kusini zaweka mkazo ufundishaji Kiswahili first appeared on HabariLeo .

Go to News Site