Randama ya bajeti Wizaya ya Ujenzi 2026/2027 yapitishwa, kamati yapongeza mikakati ya kupunguza foleni
bongo5.com

Randama ya bajeti Wizaya ya Ujenzi 2026/2027 yapitishwa, kamati yapongeza mikakati ya kupunguza foleni

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ya Wizara ya Ujenzi hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kuendeleza kasi ya uboreshaji wa miundombinu nchini. Akizungumza jijini Dodoma Machi 24, 2026, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Selemani Kakoso, …

Go to News Site