Wasifu wa marehemu William Vangimembe Lukuvi
Swahili Times

Wasifu wa marehemu William Vangimembe Lukuvi

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni. Maisha ya awali na elimu Lukuvi alizaliwa Agosti 15, 1955 katika kijiji cha Mapogoro, Wilaya ya Iringa Vijijini. Alipata elimu yake ya ualimu katika Tabora Teachers College (TTC), na baadaye akahitimu Shahada ya Uzamili (Masters) katika Sayansi ya Siasa kutoka Chuo Huria cha Tanzania. Safari […] The post Wasifu wa marehemu William Vangimembe Lukuvi appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site