Vangimembe Lukuvi: Jabali la Siasa Mbunge Mkongwe Aaga Dunia
HabariLeo

Vangimembe Lukuvi: Jabali la Siasa Mbunge Mkongwe Aaga Dunia

TANZANIA imepoteza mmoja wa wanasiasa wake wakongwe na waliolitumikia taifa kwa muda mrefu, William Vangimembe Lukuvi, aliyefariki dunia leo, Machi 25, 2026, katika Hospitali ya Dodoma. Kifo chake kimetangazwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kupitia tanzia kwa taifa, akimtaja Lukuvi kuwa kiongozi aliyelitumikia taifa kwa uaminifu, uzoefu na uzalendo wa hali ya juu. The post Vangimembe Lukuvi: Jabali la Siasa Mbunge Mkongwe Aaga Dunia first appeared on HabariLeo .

Go to News Site