Rais Samia: Taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri
HabariLeo

Rais Samia: Taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri

DAR ES SALAAM — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi. Katika salamu zake za rambirambi, Rais Samia alisema Lukuvi alikuwa mtumishi wa umma mwenye uzoefu mkubwa aliyelitumikia taifa kwa uadilifu, weledi na kujitolea, huku mchango wake katika … The post Rais Samia: Taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri first appeared on HabariLeo .

Go to News Site