HabariLeo
DODOMA — Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi mapema Alhamis asubuhi. Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kikilenga kujadili hatua zinazofuata baada ya kifo cha kiongozi huyo aliyekuwa … The post Kifo cha Lukuvi, Spika aitisha kikao cha dharura first appeared on HabariLeo .
Go to News Site