Jamii yahakikishiwa usalama chanjo ya polio
HabariLeo

Jamii yahakikishiwa usalama chanjo ya polio

GEITA: SERIKALI imeihakikishia jamii mkoani Geita kuwa chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa polio ni salama na imethibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na Wizara ya Afya Nchini. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mkuu wa wilaya ya Geita Hashimu Komba ametoa taarifa hiyo katika uzinduzi rasmi wa chanjo ya polio katika … The post Jamii yahakikishiwa usalama chanjo ya polio first appeared on HabariLeo .

Go to News Site