Watoto 123,000 wa kaya maskini wasaidiwa Kilimanjaro
Mwananchi

Watoto 123,000 wa kaya maskini wasaidiwa Kilimanjaro

Zaidi ya watoto na vijana 120,000 wanaoishi katika kaya zenye mazingira magumu nchini wamepata msaada wa huduma za elimu, afya na ustawi wa familia baada ya Shirika la Compassion International Tanzania kutumia zaidi ya Sh119.7 bilioni katika mwaka wa fedha 2025/2026.

Go to News Site