Jambo TV
Wanafunzi na walimu wa shule ya Sekondari Nsumba iliyopo katika Kata ya Luchelele Jijini Mwanza wameiomba Serikali kuwapelekea huduma ya maji ya uhakika ili kuwaondolea usumbufu wanafunzi kutafuta huduma hiyo sambamba na kuondoa hatari ya kupata magonjwa ya mripuko kama kipindupindu. Wakizungumza leo kwenye mahafali ya 27 ya kidato cha sita shuleni hapo, Mkuu wa […] The post NSUMBA SEKONDARI WALIA CHANGAMOTO YA MAJI appeared first on Jambo TV Online .
Go to News Site