MMOJA AFARIKI, WAWILI WAJERUHIWA WAKIBISHANIA SIMBA NA YANGA
Jambo TV

MMOJA AFARIKI, WAWILI WAJERUHIWA WAKIBISHANIA SIMBA NA YANGA

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya kutokea ugomvi uliotokana na ushabiki wa mpira kati ya mashabiki wa timu za Simba na Yanga, katika Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, amesema tayari wameanzisha msako wa kumtafuta kijana […] The post MMOJA AFARIKI, WAWILI WAJERUHIWA WAKIBISHANIA SIMBA NA YANGA appeared first on Jambo TV Online .

Go to News Site