AIRTEL AFRIKA YAFANIKIWA MAJARIBIO YAKE YA HUDUMA YA DATA KUPITIA STARLINK
Jambo TV

AIRTEL AFRIKA YAFANIKIWA MAJARIBIO YAKE YA HUDUMA YA DATA KUPITIA STARLINK

Airtel Africa kwa ushirikiano na SpaceX wametangaza kufanikiwa kwa majaribio ya huduma za data na ujumbe (SMS) kupitia Starlink Mobile nchini Kenya, hatua muhimu inayofungua njia ya kuleta mawasiliano ya satelaiti moja kwa moja kwenye simu za mkononi kwa mamilioni ya wananchi katika nchi 14 ambako Airtel inafanya kazi barani Afrika. Majiribio hayo yalifanyika katika […] The post AIRTEL AFRIKA YAFANIKIWA MAJARIBIO YAKE YA HUDUMA YA DATA KUPITIA STARLINK appeared first on Jambo TV Online .

Go to News Site