Serikali yatoa onyo kali dhidi ya waficha mafuta nchini, yawahakikishia wananchi upatikanaji wa bidhaa hiyo ni wa kutosha
bongo5.com

Serikali yatoa onyo kali dhidi ya waficha mafuta nchini, yawahakikishia wananchi upatikanaji wa bidhaa hiyo ni wa kutosha

KATIBU Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Asilia, Dk. James Mataragio, amesema Serikali haitasita kuchukua hatua kali dhidi ya mfanyabiashara yeyote atakayebainika kuficha mafuta kwa lengo la kuyauza baadaye kwa bei ya juu, akisisitiza kuwa vitendo hivyo havitavumiliwa. Mataragio ametoa kauli hiyo wakati wa ziara ya kutembelea maghala ya kuhifadhia mafuta ya Kampuni …

Go to News Site