Jambo TV
Naitwa Benson, mkazi wa jiji la Mbeya, mji wa baridi na fursa. Kwa miaka sita, nilijichimbia katika biashara ya nguo za mitumba (kamisheni) pale soko la Mwanjelwa. Nilikuwa na duka lililosheheni ‘grade one’ ya nguo kutoka Ulaya, lakini maisha yangu yalikuwa ni kitendawili. Kila asubuhi nilikuwa nafika dukani na kuanza kupangusa vumbi, lakini jua lilikuwa […] The post Alikosa hata mteja wa sidiria huku kodi ikimkata koo, sasa hivi anamiliki makontena ya nguo appeared first on Jambo TV Online .
Go to News Site