HabariLeo
DODOM: WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Dk Bashiru Ally amezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Uvuvi Nchini (BMUs) ili kulinda rasilimali hizo ambazo ni muhimu katika kukuza uchumi na kuimarisha usalama wa chakula. Dk Bashiru alizindua mwongozo huo jana Machi 25, 2026 wakati akifunga mkutano wa siku mbili wa ngazi ya … The post Mwongozo mpya BMUs kulinda rasilimali za uvuvi first appeared on HabariLeo .
Go to News Site