Filamu ya ICC kuzinduliwa Dar, yazua mjadala wa haki ya kimataifa
HabariLeo

Filamu ya ICC kuzinduliwa Dar, yazua mjadala wa haki ya kimataifa

DAR ES SALAAM — Onyesho la filamu “Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu: Haki ya Kimataifa Bila Universali?” linatarajiwa kufanyika Machi 27 katika Hoteli ya Crowne Plaza jijini Dar es Salaam, likileta mjadala mpana kuhusu nafasi ya haki ya kimataifa barani Afrika. Filamu hiyo, iliyotengenezwa na mtayarishaji kutoka Guinea, Bakari Kante, tayari ilionyeshwa kwa mara ya … The post Filamu ya ICC kuzinduliwa Dar, yazua mjadala wa haki ya kimataifa first appeared on HabariLeo .

Go to News Site