WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA WAKAOHODHI MAFUTA ILI WAUZE BEI KUBWA WAONYWA
Jambo TV

WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA WAKAOHODHI MAFUTA ILI WAUZE BEI KUBWA WAONYWA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Asilia, Dkt. James Mataragio, amesema serikali itawachukulia hatua za kisheria wamiliki wa vituo vya mafuta watakaojihusisha na kununua mafuta kwa wingi kwa lengo la kuyahifadhi na baadaye kuuza kwa bei kubwa. Dkt Mataragio ametoa kauli hiyo Machi 25 2026, jijini Dar es Salaam, wakati wa […] The post WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA WAKAOHODHI MAFUTA ILI WAUZE BEI KUBWA WAONYWA appeared first on Jambo TV Online .

Go to News Site