HabariLeo
DAR ES SALAAM :TANZANIA inaendelea kuimarisha mazingira ya uwekezaji na kuchochea ukuaji wa uchumi kupitia ushirikiano wake na Shirika la Bima ya Maendeleo ya Biashara na Uwekezaji Barani Afrika (ATIDI). Shirika hilo limekuwa likidhamini miradi mikubwa ya sekta ya umma na binafsi, ikiwemo reli ya kisasa (SGR) na miradi mingine yenye thamani ya takriban dola … The post Tanzania, ATIDI kuendelea kuimarisha uwekezaji first appeared on HabariLeo .
Go to News Site