Jambo TV
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametoa wito kwa wadau wa afya na wananchi kutumia maonesho ya Tanzania Dental Expo 2026 kama jukwaa la kupambana na hali ya kuoza meno nchini, ambayo sasa inawaathiri zaidi ya asilimia 76 ya watu wazima. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam leo jijini […] The post AFYA YA KINYWA: MAONESHO MAKUBWA YA MENO KUFANYIKA DAR appeared first on Jambo TV Online .
Go to News Site