Jambo TV
Jumla ya vijana 200 kutoka Jimbo la Geita Mjini wamehitimu mafunzo ya udereva wa pikipiki, baada ya kufanya mitihani na kukabidhiwa leseni, kupitia ufadhili wa Mbunge wa jimbo hilo, Mhandisi Chacha Wambura. Mafunzo hayo yaliyochukua takribani wiki mbili, yalihusisha wakufunzi kutoka Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Chato pamoja na Jeshi la Polisi Kikosi […] The post MBUNGE WAMBURA AIBUA TABASAMU KWA VIJANA 200 KUPITIA MAFUNZO YA UDEREVA appeared first on Jambo TV Online .
Go to News Site