HabariLeo
SONGWE: Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi, leo Machi 26, 2026 ameongoza tukio la Siku ya Afya na Lishe katika kijiji cha Isongole, likilenga kuimarisha uelewa wa jamii kuhusu afya bora na lishe sahihi. Katika tukio hilo, wakina mama walipata elimu ya afya na lishe kutoka kwa wataalamu wa afya, huku watoto wakipata fursa … The post DC Ileje asisitiza uwajibikaji malezi kwa watoto first appeared on HabariLeo .
Go to News Site