DC SERENGETI AFANYA ZIARA KIJIJI KWA KIJIJI KUTATUA KERO ZA WANANCHI.
Jambo TV

DC SERENGETI AFANYA ZIARA KIJIJI KWA KIJIJI KUTATUA KERO ZA WANANCHI.

Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Mhe. Angelina Marco Lubela, ameendelea na ziara yake ya kutembelea katika  vijiji vya Wilaya ya Serengeti kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za wananchi moja kwa moja katika maeneo yao ikiwa ni utekelezaji wa mkakati wa kusogeza huduma za serikali karibu na wananchi na kuhakikisha changamoto zao zinasikilizwa na […] The post DC SERENGETI AFANYA ZIARA KIJIJI KWA KIJIJI KUTATUA KERO ZA WANANCHI. appeared first on Jambo TV Online .

Go to News Site