HabariLeo
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo amesema juhudi za kuboresha mazingira ya biashara nchini Tanzania zinakabiliwa na changamoto kubwa ya kubadili mitazamo ya watendaji wa serikali. The post Watendaji watajwa kikwazo cha biashara first appeared on HabariLeo .
Go to News Site