Tozo 628 zapunguzwa kuinua biashara
HabariLeo

Tozo 628 zapunguzwa kuinua biashara

RAIS wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema mazingira ya biashara nchini Tanzania yameendelea kuimarika kwa kiwango kikubwa kufuatia hatua za serikali kuondoa vikwazo vya kisheria na kikodi vilivyokuwa vikiwakwamisha wafanyabiashara. The post Tozo 628 zapunguzwa kuinua biashara first appeared on HabariLeo .

Go to News Site