Wella apiga marufuku kuuza korosho nje ya Tabora
HabariLeo

Wella apiga marufuku kuuza korosho nje ya Tabora

MKUU wa Wilaya ya Tabora Upendo Wella, amepiga marufuku wakulima wa zao la korosho kuuza mazao yao nje ya mkoa huo, akiwataka kutumia mfumo wa stakabadhi ya ghala pamoja na minada ya kidijitali. The post Wella apiga marufuku kuuza korosho nje ya Tabora first appeared on HabariLeo .

Go to News Site