Mwananchi
Wakati wajasiriamali wadogo hususan wanawake wanaouza mbogamboga na matunda wakizidi kuingia kwenye mikopo ili kukuza biashara zao, wamehimizwa kuchukua mikopo kwa malengo maalumu na kuepuka mikopo hatarishi inayoweza kuwaingiza katika mzigo wa madeni.
Go to News Site