Kukosekana kwa wakalimani wa lugha za alama kikwazo kwa walemavu
Mwananchi

Kukosekana kwa wakalimani wa lugha za alama kikwazo kwa walemavu

Shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania (Shivyawata) wilayani Kahama mkoani Shinyanga, limeeleza kuwa kukosekana kwa wakalimani wa lugha za alama katika ofisi za umma ikiwemo hospitali, mahakamani, vituo vya polisi na halmashauri bado ni kikwazo cha upatikanaji wa huduma sahihi kwa wenye uziwi.

Go to News Site