Mwananchi
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema ili Tanzania ifikie uchumi wenye thamani ya dola za Marekani trilioni 1 ifikapo mwaka 2050 kama ilivyobainishwa kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo (Dira 2050), inahitaji ukuaji endelevu wa pato la taifa wa angalau asilimia 10 kila mwaka kuanzia 2026 hadi 2050.
Go to News Site