DC KISSA: CHANGAMOTO ZISIFANYE MUACHE KUPANDA MITI
Jambo TV

DC KISSA: CHANGAMOTO ZISIFANYE MUACHE KUPANDA MITI

Wanawake wametakiwa kuondokana na dhana kwamba uwekezaji katika sekta ya misitu haulipi kwa madai kuwa miti huchukua muda mrefu kabla ya kuvunwa pamoja na kukabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo kuungua kwa misitu. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Makete Kissa Kasongwa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka kwenye mkutano […] The post DC KISSA: CHANGAMOTO ZISIFANYE MUACHE KUPANDA MITI appeared first on Jambo TV Online .

Go to News Site