Mahakama ilivyowabana wanaodaiwa mabilioni ya fedha na Rugemalira
Mwananchi

Mahakama ilivyowabana wanaodaiwa mabilioni ya fedha na Rugemalira

Jitihada za wadaiwa wa kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited zimegonga ukuta baada ya Mahakama ya Rufani kukataa kusikiliza rufaa yao ya kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu uliowaamuru kuilipa kampuni hiyo zaidi ya Sh68 bilioni wanazodaiwa.

Go to News Site