Mwananchi
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kituo cha Usuluhishi, Zahra Maruma amesema kuboreshwa kwa mifumo ya kisheria na kisera itakayowawezesha wanawake kushiriki kikamilifu katika utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala (ADR) kutachangia kujenga jamii yenye misingi imara na ustawi.
Go to News Site