Kwa muda mrefu mjadala wa afya ya ujauzito umejikita zaidi kwa mama, huku baba akionekana kuchangia mbegu pekee.