Serikali imeombwa kuidhinisha vibali vya ajira mpya kwa Idara ya Uhamiaji nchini ili kuondoa changamoto ya upungufu wa watumishi wa kada mbalimbali katika idara hiyo ikiwemo kada ya udereva.