HabariLeo
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na Jenga Hub chini ya Miss Tanzania 2006, Nancy Sumari, imeanza maboresho ya maudhui ya mitaala ya somo la hesabu kwa wanafunzi wa darasa la kwanza hadi la tatu. Lengo kuhakikisha watoto wenye mahitaji maalumu, hususan viziwi, wanapata fursa sawa ya kujifunza kupitia mbinu rafiki … The post TET, taasisi kuboresha mitaala wanafunzi wenye mahitaji maalumu first appeared on HabariLeo .
Go to News Site