Collector
Giriş Yap
Aliyekuwa Mkuu wa Gereza la Ukonga alivyojitetea kortini | Collector
Aliyekuwa Mkuu wa Gereza la Ukonga alivyojitetea kortini

Aliyekuwa Mkuu wa Gereza la Ukonga alivyojitetea kortini

Aliyekuwa Mkuu wa Gereza la Ukonga, Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Magereza, Josephat Mkama ameieleza Mahakama hakuna ushahidi uliyowasilishwa mahakamani kuonyesha alighushi barua ya nyongeza ya msamaha kwa wafungwa katika sherehe za maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru, ya Desemba 21 mwaka 2022.

Go to News Site