Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi ametaka utoaji wa vibali vya ujenzi nchini uambatane na sharti la upandaji miti mitano ili kutunza na kuhifadhi mazingira.