Mwananchi
Watu 117 wamekamatwa kwa makosa mbalimbali mkoani Songwe katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita huku Jeshi la Polisi likisema operesheni na msako unaoendelea umechangia kupungua kwa vitendo vya uhalifu katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo.
Go to News Site