HabariLeo
DAR ES SALAAM: Dk Lutengano Mwinuka ameshauri kuwa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP) unapaswa kunufaisha pande zote mbili zinazoingia makubaliano ya kutekeleza miradi ya kimkakati. Mhadhiri huyo alitoa maoni hayo wakati akichangia hoja katika mhadhara wa umma uliofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ukiangazia nafasi ya PPP katika utekelezaji wa … The post Ashauri PPP inufaishe pande zote first appeared on HabariLeo .
Go to News Site