HabariLeo
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuanza kwa safari za ndege za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Moscow kuanzia Julai 2 mwaka huu, hatua aliyoieleza kuwa itaimarisha biashara, uwekezaji na utalii kati ya Tanzania na Urusi. The post ATCL kuanza safari Dar – Urusi Julai 2 first appeared on HabariLeo .
Go to News Site