Collector
Wanafunzi wa kike wapewa tahadhari matumizi ya simu | Collector
Wanafunzi wa kike wapewa tahadhari matumizi ya simu
HabariLeo

Wanafunzi wa kike wapewa tahadhari matumizi ya simu

MOROGORO: WANAFUNZI wakike wa shule za msingi na sekondari mkoani Morogoro wameshauriwa kujiepusha na matumizi yasiyo sahihi ya simu kwa vile zimebainika ni vichocheo vya wao kujingiza kwenye uhusiano wa kimapenzi wakiwa kwenye umri mdogo, kufanyiwa ukatili wa kigono na wengi wao kupata mimba. Mwenyekiti wa Kampeni ya Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii … The post Wanafunzi wa kike wapewa tahadhari matumizi ya simu first appeared on HabariLeo .

Go to News Site