Bashungwa: Hakuna atakayethubutu kuandamana Okt 29

Bashungwa: Hakuna atakayethubutu kuandamana Okt 29

KAGERA: MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Karagwe na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amewaondoa shaka Watanzania akisisitiza uhakika wa uwepo wa usalama wa kutosha katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu. Akizungumza wakati wa mkutano wa mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wilayani Karagwe mkoani Kagera … The post Bashungwa: Hakuna atakayethubutu kuandamana Okt 29 first appeared on HabariLeo .

Samia aahidi kicheko kwa wavuvi

Samia aahidi kicheko kwa wavuvi

KAGERA: MGOMBEA wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuboresha sekta ya uvuvi endapo atapewa ridhaa ya kuongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Akizungumza leo Oktoba 15, 2025 katika mkutano wa kampeni unaofanyika Muleba, mkoani Kagera, Dk. Samia amesema serikali yake … The post Samia aahidi kicheko kwa wavuvi first appeared on HabariLeo .

Wenje awachana viongozi wanaosema wako tayari kufa

Wenje awachana viongozi wanaosema wako tayari kufa

KAGERA: KADA wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambaye sasa ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezekia Wenje, ametoa onyo kuhusu hatari ya kuwa na kiongozi wa chama cha siasa anayejinasibu kuwa yuko tayari kufa, na kusema kuwa kiongozi wa aina hiyo hana sifa za kuongoza Taifa. Akizungumza katika mkutano wa … The post Wenje awachana viongozi wanaosema wako tayari kufa first appeared on HabariLeo .

SBL & NCT Yawakaribisha Wanafunzi wa Learning for Life Siku ya Kwanza ya Mafunzo Arusha

SBL & NCT Yawakaribisha Wanafunzi wa Learning for Life Siku ya Kwanza ya Mafunzo Arusha

Chuo cha Taifa cha Utalii NCT Kampasi ya Arusha kimefurika ari, tabasamu na matumaini mapya baada ya wanafunzi na wakufunzi kuannza rasmi safari yao  kupitia programu ya learning for life, ushirikiano kari ya Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Na NCT unaolenga kuwawezesha vijana wa Kitanzania kupata ujuzi wa vitendo katika sekta ya ukarimu na utalii. Meneja wa Kampasi wa Chuo cha NCT Arusha Dkt. Maswet Masinda akizungumza wakati uzinduzi wa wa siku ya kwanza ya mafunzo ya Learning for Life jijini Arusha. Zaidi ya vijana 160 wamejiunga na kundi hili jipya la mafunzo, wakiwa na hamasa kubwa ya kujifunza […] The post SBL & NCT Yawakaribisha Wanafunzi wa Learning for Life Siku ya Kwanza ya Mafunzo Arusha appeared first on SwahiliTimes .