
Kuagiza bahari ifukiwe kupata ardhi
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaielekeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ianze mpango wa kufukia bahari ili kupata ardhi kwa ajili ya matumizi ya maendeleo. The post Kuagiza bahari ifukiwe kupata ardhi first appeared on HabariLeo .