Kim Kardashian Afunguka Sababu za Talaka na Kanye West

Kim Kardashian Afunguka Sababu za Talaka na Kanye West

Mwigizaji na mfanyabiashara maarufu Kim Kardashian hatimaye ameeleza kwa kina kilichomsukuma kuachana na rapa Kanye West, baada ya miaka minane ya ndoa. Akizungumza katika kipindi cha “Call Her Daddy” kilichoongozwa na Alex Cooper, Kim, mwenye umri wa miaka 44, alisema kulikuwa na mambo mengi ambayo hakuweza kuvumilia tena kwenye ndoa yao. “Sikupenda kuona mtu akiongea […]

Wizara Ya Maliasili Na Utalii Yajiimarisha Kisheria Usimamizi Wa Biashara Za Utalii Nchini

Wizara Ya Maliasili Na Utalii Yajiimarisha Kisheria Usimamizi Wa Biashara Za Utalii Nchini

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Utalii imeendelea kujiimarisha kisheria kwa kuwajengea uwezo Maafisa wake kupitia mafunzo maalum kuhusu Sheria na Kanuni za Usimamizi wa Biashara za Utalii nchini. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo jijini Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi wa Sehemu ya Huduma za Utalii na Udhibiti Ubora, Richie Wandwi, amesema lengo ni kuongeza […]

Ngajilo ataja fursa mpya za kilimo na ufugaji

Ngajilo ataja fursa mpya za kilimo na ufugaji

IRINGA: Mbunge wa Iringa Mjini, Fadhil Ngajilo, amesema wakati umefika kwa wananchi wa Iringa mjini kutumia ardhi ndogo walizonazo kuendesha kilimo na ufugaji wa majumbani wenye tija, vitakavyoweza kubadilisha maisha yao na kuchangia uchumi wa mji huo. Akizungumza na wakazi wa kata ya Ruaha katika mfululizo wa kampeni zake, Ngajilo alisema si lazima mtu awe … The post Ngajilo ataja fursa mpya za kilimo na ufugaji first appeared on HabariLeo .

Uwezekano wa kulipa nauli kidijitali kwenye daladala

Uwezekano wa kulipa nauli kidijitali kwenye daladala

Fikiria unapanda daladala bila kuhangaika kutafuta chenji, bila wasiwasi kama konda amekurudishia pesa yako au la, wala hofu ya kukabidhiwa noti bandia. Hakuna foleni ya kulipa, na safari inaendelea kwa utulivu bila usumbufu. Malipo yanafanyika papo hapo kwa njia ya kidijitali haraka, salama, na kwa uwazi. Ni ndoto lakini inayoweza kufikiwa kama mustakabali katika kuboresha mfumo wa usafiri maeneo ya miji.