Tanzania to compensate residents affected by the Kikombo road project

Tanzania to compensate residents affected by the Kikombo road project

DODOMA: CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) parliamentary candidate for Mtumba Constituency, Anthony Mavunde, has promised residents affected by the construction of the road leading to the military camp in Kikombo Ward that they will all be compensated. Speaking during his ongoing campaign in Kikombo Ward, the candidate said that some residents have already begun receiving compensation. Additionally, … The post Tanzania to compensate residents affected by the Kikombo road project first appeared on Daily News .

Wadau wajadili maendeleo mradi wa RISE

Wadau wajadili maendeleo mradi wa RISE

TIMU ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia (WB), Shirika la Kimataifa la Kazi (ILO), Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Menejimenti ya Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na timu ya kusimamia mradi wa RISE leo Oktoba 16, 2025 wamekutana na kujadiliana kuhusu maendeleo ya mradi wa RISE (Mid-Term Review) katika jijini Dodoma. SOMA: Sh bilioni 822 … The post Wadau wajadili maendeleo mradi wa RISE first appeared on HabariLeo .

Tanzania urges NAM members to uphold solidarity

Tanzania urges NAM members to uphold solidarity

KAMPALA: TANZANIA has the Non-Aligned Movement’s member countries to uphold solidarity and unity in international discussions, especially when defending the interests of developing nations. The call was made by Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Cosato Chumi, during the ongoing NAM Conference in Kampala, Uganda, where he further reiterated Tanzania’s commitment to … The post Tanzania urges NAM members to uphold solidarity first appeared on Daily News .

Future of Tanzania cricket shines with grassroots growth and youth leagues

Future of Tanzania cricket shines with grassroots growth and youth leagues

DAR ES SALAAM: THE future of cricket in Tanzania is looking brighter than ever, thanks to a wave of grassroots initiatives aimed at nurturing young talent and popularising the sport nationwide. One such transformative effort is currently unfolding at Al Muntazir Islamic International School in Dar es Salaam, where a vibrant Under-15 and Under-19 Inter-School … The post Future of Tanzania cricket shines with grassroots growth and youth leagues first appeared on Daily News .

Mahakama yakataa kuhojiwa waliotoa viapo kesi ya Polepole

Mahakama yakataa kuhojiwa waliotoa viapo kesi ya Polepole

Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeyakataa maombi ya mawakili wa wajibu maombi katika shauri la kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kuwaita kizimbani na kuwahoji watu waliokula viapo vilivyoambatanishwa katika hati ya maombi ya shauri hilo, akiwamo wakili wake, Peter Kibatala.

Watu milioni 5 hufariki tezi dume kwa mwaka EAC

Watu milioni 5 hufariki tezi dume kwa mwaka EAC

DAR ES SALAAM: ZAIDI ya wanaume milioni tano hufariki kila mwaka katika ukanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutokana na saratani ya tezi dume, huku sababu kubwa ikiwa ni mabadiliko ya umri. Takwimu hizo zimetolewa leo Oktoba 15,2025 na Mkurugenzi wa Hospitali ya Heameda, iliyopo Bunju, Wilaya ya Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam, Dk … The post Watu milioni 5 hufariki tezi dume kwa mwaka EAC first appeared on HabariLeo .

Dalili za uwepo wa gesi asilia zaonekana katika kitalu cha Lindi-Mtwara

Dalili za uwepo wa gesi asilia zaonekana katika kitalu cha Lindi-Mtwara

Utafiti unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa Gesi Asilia, hususani katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, ambapo visima vya maji vilibainika kuvujisha gesi asilia. Utafiti huo unajumuisha jumla ya vijiji 48 katika eneo la takriban kilomita za mraba 736 ambapo vijiji 40 vinatoka katika Halmashauri ya Wilaya ya …